Tuzo la Mo Ibrahim la Kufaulu kwa Uongozi la Kiafrika [Tuzo ya Mo Ibrahim ya Kufaulu kwa Uongozi la Kiafrika] litatunukiwa [itatunukiwa]kwa kiongozi mstaafu wa taifa au serikali barani Afrika na ambaye amethibitisha uongozi thabiti [utawala bora]wa Kiafrika. Kama tuzo kubwa katika historia, Tuzo la [Tuzo ya] Mo Ibrahim ni pamoja na dola za kimarekani milioni 5 katika kipindi cha miaka 10 na dola za kimarekani [Kimarekani]elfu[delete elfu] 200,000 baadaye kila mwaka wakati wote wa uhai wake. Isitoshe, zipo dola za kimarekani 200,000 kila mwaka kwa miradi mizuri itakayobainiwa [itakayochaguliwa]na mshindi na zinaweza kutolewa na wakfu huo katika miaka kumi ya kwanza.

Mshindi wa kwanza wa Tuzo la [Tuzo ya] Mo Ibrahim atachaguliwa na kamati ya tuzo inayowahusisha wafuatao:

  • Kofi Annan, aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa
  • Martti Ahtisaari, aliyekuwa Mwakilishi Maalum wa UM huko Namibia na Rais mstaafu wa Finland
  • Aïcha Bah Diallo, aliyekuwa Waziri wa Elimu Guinea na Mshauri Maalum kwa Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO
  • Mary Robinson, aliyekuwa Rais wa Ireland na Kamishena wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu (na mwanachama wa Halmashauri ya Wakfu)
  • Salim Ahmed Salim, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika(na mwanachana wa Halmashauri ya Wakfu)

Mshindi wa kwanza wa Tuzo la[Tuzo ya] Mo Ibrahim atatangazwa mnamo Oktoba 22 2007.

Bonyeza hapa kusoma masharti ya majukumu ya Kamati ya Tuzo ya Tuzo la Mo Ibrahim