Kigezo cha Ibrahim cha Uongozi wa Kiafrika ni kipya, na ni kipevu cha kuyaweka mataifa Afrika kusini mwa Jangwa Sahara [Afrika kusini ya jangwa la Sahara] katika daraja kulingana na ubora wa uongozi. Imebuniwa kwa utambulizi wa haja ya utaratibu wa ukadirifu ulio kipevu[mpevu] na kwa lengo la kupima ubora wa uongozi Afrika kusini mwa Jangwa Sahara[Afrika kusini ya jangwa la Sahara]. Kigezo kinakadiri maendeeo ya kitaifa katika vikundi tano[vitano] muhimu, ambavyo kwa pamoja vinatoa ufafanuzi wa uongozi thabiti[utawala bora].
- Usalama na Ulinzi
- Sheria, Uwazi na Ufisadi
- Ushiriki na Haki za Binadamu
- Maendeleo Endelevu ya Uchumi
- Maendeleo ya Binadamu
Kigezo cha kwanza cha Ibrahim cha Uongozi wa Afrika kilichapishwa Jumanne 25 Septemba 2007. Tafadhali bofya hapa kwa habari zaidi kwa Kingereza. Toleo la Kiswahili kitapatikana hivi karibuni.

