Masharti na Sheria
Tovuti ya Wakfu wa Mo ibrahim inatolewa kama huduma kwa umma na Wakfu wa Mo Ibrahim. Habari zinazotolewa kwa tovuti ya Wakfu wa Mo Ibrahim itachukuliwa kuwa habari kwa umma na inaweza kusambazwa ama kunakiliwa kwa sababu zisizo za kibiashara. Utumizi wa majina/picha na kisha kutoa chimbuko unahitajika baada ya kufuata taratibu zilizoko.
Kuonekana kwa baadhi ya sehemu za tovuti zinazohusiana haionyeshi kuwa jambo hilo limekubalika na tovuti ya Wakfu wa Mo Ibrahim ama habari, bidhaa, huduma zinazopatikana humo.
Wakfu wa Mo Ibrahim haichangii katika kuimiliki sera za kihuhariri kuhusu habari zinazotumika katika maeneo ya tovuti hii.
Hakimiliki© 2007 Wakfu wa Mo Ibrahim na haki zote zimehifadhiwa.


