Wakfu wa Mo Ibrahim ni nini?
Wakfu wa Mo Ibrahim ni wakfu mpya ambayo [ambao]imeanzishwa [umeanzishwa]kwa lengo la kuleta maendeleo barani Afrika, hususan kwa sababu ya kuhimiza uongozi thabiti [utawala bora] barani Afrika kusini mwa Sahara[Afrika kusini ya jangwa la sahara].

Juu

Dkt. Mo Ibrahim ni nani?
Dkt. Mo Ibrahim ni mmoja wa wanaongoza katika biashara barani Afrika. Alizaliwa Sudan mnamo 1946, na ndiye mwanzilishi wa kampuni ya Kimataifa ya Celtel, kampuni ya simu ya rununu yenye shughuli Afrika kusini mwa sahara.

Juu

Wakfu utaimarisha utawala thabiti barani Afrika kivipi?
Wakfu imeanzisha[umeanzisha] miradi miwili mikuu mipya ya kusaidia katika utoaji wa uongozi bora[utawala bora] katika Afrika kusini mwa Sahara. Tuzo la [ya] Mo Ibrahim la Kufaulu kwa Uongozi la Kiafrika litatunukiwa kwa viongozi wastaafu wa taifa au serikali barani Afrika na ambao amethibitisha wamethibitisha]uongozi thabiti [utawala bora] wa Kiafrika. Kigezo cha Ibrahim cha Uongozi wa Kiafrika ni kipevu na kuyaweka katika daraja ya mataifa kusini mwa Sahara kwa misingi ya ubora wa uongozi[utawala bora]..

Juu

Wakfu unaendelezwa vipi? 
Wakfu uko chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wadhamini, ambao wote wamejitolea kuimarisha utawala thabiti [bora] barani Afrika. Kazi ya kila siku ya wakfu inaendelezwa na Afisi Kuu ndogo ambayo ipo Uingereza na kusaidiwa na wafanyikazi kutoka Marekani na Afrika.

Juu

Nani yumo kwenye Halmashauri ya Wakfu?
Mbali na Dkt. Mo Ibrahim, Halmashauri ina watu wafuatao: Lalla Ben Barka (Mkurugenzi wa Kimaeneo UNESCO, Masiala ya Elimu); Lord Cairns(Mwenyekiti, Wakfu wa Msaada wa Ufadhili); Dkt. Mamphela Ramphele(Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Dunia); Mary Robinson (Aliyekuwa Rais wa Ireland na aliyekuwa Kamishena Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu); Salim Ahmed Salim (Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika) na Nicholas Ulanov(Mkurugenzi Mkuu,Ushirika wa Ulanov).

Juu

Wakfu unafadhiliwa vipi? 
Wakfu wa Mo Ibrahim unafadhiliwa na Dkt. Mo Ibrahim pekee yake.

Juu

Tuzo la Mo Ibrahim la Kufaulu kwa Uongozi wa Kiafrika ni lipi?
Tuzo la [Tuzo ya] Mo Ibrahim la [ya] Kufaulu kwa Uongozi la Kiafrika na ambalo[ambayo]ndilo [ndiyo]kubwa duniani linahusisha [inahusisha]dola za kimarekani elfu[ Delete elfu] 500,000 katika kipindi cha miaka 10 na dola za kimarekani[Kimarekani] elfu[delete elfu] 200,000 baadaye kila mwaka wakati wote wa uhai wake. Isitoshe, zipo dola za kimarekani [Kimarekani]200,000 kila mwaka kwa miradi mizuri itakayobainiwa[itakayochaguliwa] na mshindi na zinaweza kutolewa na wakfu huo kama utakavyoamua.

Nani anaweza kuwa Mshindi wa Tuzo la Mo Ibrahim?
Tuzo linapaswa [inapaswa]kutunikwa kwa Kiongozi mstaafu wa taifa ama serikali ya Afrika chini ya Sahara[Afrika kusini ya jangwa la Sahara]. Washiriki sharti wawe walipata uongozi kwa njia ya uchaguzi wa kidemokrasia na ambao wametoka mamlakani na ambao wametimiza miaka ya uongozi kwa mujibu wa katiba.

Washindi wa Tuzo la Mo Ibrahim watateuliwa vipi?
Mshindi wa Tuzo la [Tuzo ya] Mo Ibrahim atateuliwa na Kamati ya Tuzo kwa msingi wa utendaji kazi wake ukilinganishwa na viongozi wa aila yake katika mataifa mengine ya Afrika kusini mwa Sahara[Afrika kusini ya jangwa la Sahara]. Kamati ya Tuzo itatoa uamuzi wake wa kumchagua Mshindi ikiongozwa na Kigezo cha Ibrahim cha Uongozi wa Kiafrika ni kipevu [Delete]na kuyaweka katika madaraja mataifa kusini mwa Sahara [ kusini ya jangwa la Sahara] kwa misingi ya ubora wa uongozi.

Juu

Je, kuna masharti yoyote ya jinsi hela zitakavyotumiwa?  
Wakfu hautajiingiza katika kutoa maelekezo ya namna mshindi anavyopaswa kulitumia Tuzo lake [kuitumia Tuzo yake].

Juu

Zile dola 200,000 zinazotolewa kila mwaka zitasimamiwa vipi?
Zile dola 200,000 za ziada zinazotolewa kila mwaka zitatolewa na Wakfu kadiri ya kila hali. Inanuiwa kuwasaidia viongozi katika miradi mbalimbali baada ya kutoka uongozini ikienda sambamba na majukumu yao kama mabalozi wa Uongozi thabiti[utawala bora].

Juu

Nani ndiye mwanachama wa Kamati ya Tuzo?
Kamati ya Tuzo inawashirikisha watu waadilifu ambao ni wataalamu katika masiala ya Afrika na ambao wamejitolea kuunga mkono maendeleo ya bara. Wao ni Kofi Annan, aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa (Uenyekiti); Martti Ahtisaari, aliyekuwa Rais wa Finland na Mwakilishi Maalum wa UM huko Kosovo; A?cha Bah Diallo [delete], aliyekuwa Waziri wa Elimu Guinea na Mkurugenzi Mkuu wa Elimu ya Msingi katika UNESCO; Ngozi Okonjo-Iweala, aliyekuwa Waziri wa Fedha na pia aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Nje wa Nigeria; Mary Robinson, aliyekuwa Rais wa Ireland na Kamishena wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu(na mwanachama wa Halmashauri ya Wakfu); Salim Ahmed Salim, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika(na mwanachana wa Halmashauri ya Wakfu).

Juu

Mshindi wa kwanza atatangazwa lini?
Wakfu utatangaza Mshindi wake wa kwanza wa Wakfu wa Mo Ibrahim mnamo Oktoba 2007.

Juu

Je, kutakuwa na mshindi mmoja tu wa Tuzo kila mwaka?
Kutakuwa na mshindi mmoja tu wa Tuzo kila mwaka.

Juu

Kigezo cha Ibrahim cha Uongozi Thabiti [Utawala Bora] ni kipi?
Kigezo cha Ibrahim cha Uongozi [Utawala] wa Kiafrika ni kipya na kipevu ya kuyaweka katika daraja ya mataifa kusini mwa Sahara [ya jangwa la Sahara] kwa misingi ya ubora wa uongozi[utawala]. Kimetayarishwa chini ya uelekezi wa Profesa Robert Rotberg, wa shule ya Kennedy ya Serikali katika Chuo Kikuu cha Harvard.

Juu

Kwanini Kigezo cha Ibrahim cha Uongozi [Utawala] wa Kiafrika kimeanzishwa?
Kigezo cha Ibrahim kimebuniwa kwa mahitaji ya kuwa na mkakati mpevu, wenye haki na malengo na wenye kuweza kuthibitika katika kupima uongozi bora [utawala bora] katika mataifa ya Afrika yaliyo kusini mwa Sahara[kusini ya jangwa la Sahara]. Hakuna kigezo kama hiki cha kuorodhesha washindi. Inatarajiwa kuwa kuchapishwa kwa kigezo hiki kitaimarisha jinsi ambavyo raia wa Afrika kusini mwa Sahara[ya jangwa la Sahara] wanavyotawaliwa huku kukizua mijadala miongoni mwa jamii kuhusu ni vigezo vipi vitakavyotumiwa kuangalia utawala thabiti[utawala bora].

Juu

Kigezo kitafanya kazi vipi?
Kigezo cha Ibrahim kitatumiwa kutathmini maendeleo ya taifa katika sehemu zifuatazo tano muhimu, ambazo kwa pamoja zinajenga maana ya pamoja ya utawala thabiti[utawala bora]: Maendeleo ya kiuchumi yanayojitegemeza; Maendeleo ya kijamii (Afya na Elimu); Uwazi na utoaji nguvu kwa mashirika ya kijamii; Demokrasia na haki za kibinadamu; Utawala unaozingatia sheria na usalama.

Juu

Kigezo cha kwanza cha Ibrahim kitachapishwa lini?
Wakfu unanuia kuchapisha Kigezo cha kwanza cha Ibrahim cha Uongozi wa Afrika mnamo Septemba 2007.

Juu

Profesa Robert Rotberg ni nani?
Profesa Robert Rotberg, Mkurugenzi wa Mradi wa Mzozo na Utatuzi wa Mzozo kati ya nchi katika Shule ya Kennedy ya Serikali katika Chuo Kikuu cha Harvard na anayetambuliwa ulimwenguni kama mtaalamu wa uongozi thabiti[Utawala bora]. Kwa miaka mitano iliyopita, Profesa Rotberg amekuwa akikitengeneza kigezo cha kuziorodhesha nchi za Afrika chini ya Sahara[kuisni ya jangwa la Sahara] kwa mujibu wa ubora wa uongozi wake.

Juu